Nyumba ina vyumba vitatu vyakulala siting room public toilet jiko maji fens nk.
Ukubwa wakiwanja sqm 400
Umbali kutoka main road km 1
Nyumba ina documents yaserekali yamtaa
Wahi sasa mdau wangu mwenyewe kakwama anashida yaharaka
WOTE MNAKARIBISHWA
Learn about new items, custom picked just for you.