Nyumba ina vyumba vitatu vyakulala kimoja Master siting room dining room public toilet jiko maji nk.
Nyumba ina documents yamauziyano yaserekali yamtaa
Upimaji shirikishi ushafanyika bado hati tuu
Ukubwa wa kiwanja sqm 400
Umbali kutoka mainroad mita ?
Wahi sasa mdau wangu ujipatie nyumba kwa bei poa kabisa
WOTE MNAKARIBISHWA ?
Learn about new items, custom picked just for you.