Nyumba ina vyumba vitatu vyakulala kimoja master sitting room dining room public toilet jiko nk.
Nyumba ina documents yamauziyano yaserekali yamtaa
Ukubwa wakiwanja sqm 400
Umbali kutoka main road mita ?
Nyumba bado finishing tuu
Wahi sasa mdau ujipatie nyumba kwabei poa kabisa
WOTE MNAKARIBISHWA ?
Learn about new items, custom picked just for you.