5. Dec '20, 16:11
Ad ID: 2336659
TSh 450,000,000

NYUMBA INAUZWA /BUNJU BEACH MOGA

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam Nyumba ipo bunju Beach jirani na jengo la APC
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Zoom tz
No of bedrooms
5
No of bathrooms
4
Real Estate Type
Bungalow
Amenities
  • Servants' Quarter
Description

Ghorofa la kifahari linauzwa bado halijakamilika Lipo BUNJU beach moga ni ghorofa la kisasa limejengwa kwa kuzingatia viwango vyote limejengwa Mahala pazuri ambapo Una VIEW BAHARI Japo kwa mbali

Ni nyumba yenye jumla ya vyumba vitano NK. imejengwa Kwenye kiwanja CHENYE ukubwa wa SQM 2040 na kiwanja chake Kimepimwa kina hati miliki nimekuambatanishia na RAMANI ya nyumba iliyojengwa hapo Ili uone nyumba itakavyoisha itakuwa na muonekano gani, hakika hii si ya kukosa BEI inauzwa Milion 450 tsh lakini Nazungumza Yapo.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Abduly
Member Since 14. Nov '18
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.