Ina vyumba 3 chumba kimoja kina master room public toilet stoo jiko dining room na sitting room pia Ina vyumba 2 vya nnje na mabanda ya mifugo pia Ina eneo la ukubwa wa nusu heka.
Kwa maelezo zaidi piga simu tuongee boss wangu.+255 7 10 01 32 34 ?
Learn about new items, custom picked just for you.