Today, 11:36
Ad ID: 2640981
TSh 78,000,000

NYUMBA HII INAUZWA IPO MBAGALA MAJI MATITU DAR ES SALAAM KWA TSHG MILLION 78

Temeke, Chamanzi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
No of bathrooms
2
Amenities
  • Air Conditioning
Description

Hii ipo mbagala maji matitu jiji la Dar es Salam wilaya ya temeke Jimbo la mbagala kata ya chamaz
Ni nyumba nzuri Sana kubwa ya kisasa ina vyumba vinne vya kulala vyumba viwili ni Masters bedroom ina sttng room na daing room ina jiko na store ina public toilet ina kisima Cha maji na umeme eneo zuri Sana kubwa sqm meter 600)
Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi usha fanyika bado Hattie miliki tu
Nyumba ina uzwa tsh mil 85 tu maongezi yapo

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
MR CHAPU CHAPU
Member Since 24. Dec '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.