• Mahali: Zinapogeuzia daladala
• Hali ya nyumba: Mpya
• Bei: TZS 130,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Tanzawise Estates
Dar es Salaam
.
Nyumba ni self contained • ipo mita 300 kutoka lami • vyumba vyote ni master • sebule • jiko • washroom ya jumuiya • malumalu sakafuni • gypsum darini • umeme upo • ipo mahala pazuri utaamua pia kujenga fremu za maduka
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Learn about new items, custom picked just for you.