#Nice House for Sale at Kimara Temboni; #65M only
;
#Hii nyumba ya kisasa kabisa inauzwa ina vyumba 3 vikubwa Sana vya kulala (kimojawapo ni master kubwa sana), sebule kubwa, jiko kubwa na choo cha familia, pia kuna servant coter ya chumba master na sebule na pia Kuna frame nzuri ya biashara
;
;
#ipo Kimara Temboni upande wa kushoto kama unaenda Mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.5
;
;
#Bei ni 65,000,000/= tu
;
#service charge 20k
▪▪▪▪▪
#NB; Nitumie Text WhatsApp au nipigie, DM nachelewa kuona sms. Asante
Learn about new items, custom picked just for you.