#Stand Alone House for rent at Kimara Bucha; #700k
;
#Nyumba kali ina vyumba 3 vya kulala (viwili ni master bedrooms, sebule, jiko lina makabati, stoo na choo cha familia, juu kuna master kubwa jakuzi, sehemu ya kubadilishia nguo, ina hearter, full air condition luku yake, maji yanaflow ndani, fensi, parking kubwa, paving block, nyumba inajitegemea yenyewe kwenye fensi
;
;
#Iko Kimara Bucha dk 5 toka morogoro road
;
;
#bei ni Tshs 700,000/=
;
#malipo ya dalali ni hela ya mwezi mmoja 700k
;
#service charge 20k
▪▪▪▪▪
#NB; Nitumie Text WhatsApp au nipigie, DM nachelewa kuona sms. Asante
Learn about new items, custom picked just for you.