19. Aug, 13:35
Ad ID 3253284
TSh 1

NGIRI,AINA ZAKE,DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILIA

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

NGIRI/HERNIA NI NINI?
Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA

SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA NGIRI ( KUJITOKEZA KWA ORGAN AMA TISSUE KUPITIA ENEO DHAIFU/TUNDU
⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1.Uzito kupita kiasi
2.Tumbo kujaa maji
3.Kujisaidia choo kigumu
4.Kunyanyua vitu vizito
5.Ujauzito
6.Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder)
7.Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji
8.Umri Mkubwa
9.Uvutaji sigara
10.Kurithi
11.Nk

AINA KUU ZA NGIRI
⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1.Epigastric hernia
2.Hiatal hernia
3.Incisional Hernia
4.Inguinal Hernia
5.Femoral hernia
6.Umbilical hernia
7.Anal hernia
8.Scrotal hernia
9.Hydrocele

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2?Kupiga mingurumo tumboni.
3?Kujaa gesi tumboni.
4?Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5?Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6?Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7?Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8?Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9?Nuru ya macho hupotea taratibu.
10?Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11?Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12?Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13?Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14?Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto

15 ?Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

16? Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

17? Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.

18? Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

19? Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1? Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2?Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3?Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo

4? Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

5?Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

6?Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

7?Upungufu wa nguvu za kiume.

Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume

MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA

Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.

Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza kama una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie kama kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk

•Dr.anaweza kujiridhisha zaid kama mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo⤵⤵

➡️ ULTRASOUND
➡️ CT SCAN
➡️ MRI

Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha kama mtu ana ngiri ama hana.

ANGALIZO
➡️ Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.

➡️ Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.

➡️ Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.

➡️ Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa Recurrent Hernia,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa Recurrent hernia.Na kuna ngiri huitwa Incissional hernia ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.

➡️ Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.

Asante sana.

Pandex herbal
Pandex herbal
Member Since 13. Aug
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.