#New Apartment for rent at Sinza E; 600k
;
#Nyumba ni Mpya ina Vyumba viwili (kimoja master) na chumba kingine cha nje, sebule zur, Dinning, jiko na choo cha public, fenced, parking, tiled floor, A/c, Apartment inajitegemea kwa kila kitu
;
;
#Ipo Sinza E
;
;
#Kodi ni 600,000/= × 6
;
;
#Malipo ya dalali Festo ni hela ya mwezi mmoja 600,000/=
;
;
#service charge 20,000/=
Learn about new items, custom picked just for you.