#New Min-Flat Apartment for Rent at Mbezi Beach Jogoo; 600k x 6, 700k x 6Mbezi
;
#Nyumba ya vyumba vitatu (chumba kimoja master?), sebule, Jiko?? na public toilet?, (upande wa chini) inapangishwa kwa Kodi ya 600,000 na nyumba iliyo gorofani juu inapangishwa kwa Kodi ya 700,000, luku ya umeme na mita ya maji unajitegemea, paving block na garden? vitawekwa Kama sehemu ya finishing ya nyumba?
;
;
#Ipo Mbezi Beach Jogoo
;
;
#Malipo ya dalali Festo ni hela ya mwezi mmoja 600,000/=, 700,000/=
;
;
#service charge (Viewing cost) 20,000/=
Learn about new items, custom picked just for you.