NAUZA viwanja kuanzia Sq m. 340, Sq m400, Sq m. 660, mpaka Sq. m 1150, vipo vya biashara na Makazi. Kwa makazi sq m.1 ni Sh. 8500 na Sh. 10000 vya biashara. Haviko mbali na zinapoishia barabara za lami za Mji wa serikali. Maeneo yatafaa Sana kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha watumishi wa serikali, mabalozi na mashirika ya kimataifa. Karibu sana.
Learn about new items, custom picked just for you.