12. Mar, 20:55
Ad ID: 2584357
TSh 5,000,000

NAUZA KIWANJA CHANGU 5KM TOKA TOWN

Dodoma Mjini Dodoma
Details
Price negotiable
No
Price per square unit
No
Square units
483.0 m²
Description

MAHALI- #MICHESE

MICHESE-IKO IRINGA ROAD UMBALI WA 5KM TOKA TOWN

KUPAKANA-MICHESE INAPAKANA NA CHIDACHI,MIGANGA,ITEGA,KINYAMBWA EXTENSION

UMBALI TOKA TOWN-5KM

UKUBWA WA KIWANJA-483Sqm

KWA WASIOFAHAMU-483Sqm INAWEZA KUJENGA NYUMBA KUBWA YA VYUMBA VINNE,SEBULE,JIKO,CHOO CHA PUBLIC UKAPATA NA PARKING,GARDEN NA SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO

KUPIMWA-KIMEPIMWA NA MANISPAA YENYEWE

DOCUMENT-IN-VOICE KWAAJILI YA HATI (KIMELIPIWA)

MATUMIZI
-KINAFAA SANA KWA MAKAZI
-PIA KINAFAA KWA NYUMBA ZA KUPANGA
-KIWANJA KIZURI SANA KWA WANAOPENDA KUJENGA NYUMBA YA KUISHI+KUWEKA NA FREMU PIA SABABU KIKO KWENYE KONA

BEI-5M (FIXED-BEI YA OFA)

HUDUMA
-UMEME+MAJI VIKO JIRANI

RAMANI-KATIKA RAMANI NI KIWANJA CHENYE DOTI YA BLUU

KWANINI UNUNUE KIWANJA HIKI?
1.UKARIBU TOKA TOWN YAANI 5KM

2.ARDHI TAMBARARE

3.BARABARA ZINAZOPITIKA KIPINDI CHOTE(MASIKA/KIANGAZI)

4.BEI NAFUU KULIKO SEHEMU YOYOTE KWA DODOMA KARIBU NA MJINI

KWENDA SITE
-BURE,HAKUNA GHARAMA YOYOTE
-MUDA WOWOTE UNAPELEKWA ISIZIDI SAA 12 JIONI

MFUMO WA MALIPO-CASH(SABABU NIMETOA OFA)

GHARAMA ZA MIKATABA KWA WAKILI-ATALIPA MTEJA,SABABU NIMETOA OFA KWENYE BEI

MAWASILIANO
nifollow instagram @dalali goodneighbour dodoma

NB-WE OPEN DOORS TO BETTER LIVING

#2021 TUMECHAFUKWA TENA,TUKUTANE SITE

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Member Since 30. Dec '15
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.