4. Sep, 18:15
Ad ID 3332108

NAFASI ZA MASOMO

Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Description

FURAHIKA EDUCATION ORGANISATION COLLEGE

NAFASI ZA KAZI MASOMO BURE

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO BURE KWA WASICHANA KWA MASOMO YAFUATAYO KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM, MTWARA, ARUSHA, PWANI NA MOROGORO.

• KILIMO
• UFUGAJI
• USHONAJI
• BIASHARA NA MANUNUZI
• UALIMU
• UJENZI
• COMPUTER
• LUGHA ZA KIGENI
• QT
• PRE FORM ONE
• RESITORS
• MUZIKI
• HOTEL MANAGEMENT
• MAPISHI

SIFA ZA MWOMBAJI:
• AWE MSICHANA
• UMRI MIAKA 15 MPAKA 23
• WALIOKOSA FURSA YA KUENDELEA NA MASOMO YA SEKONDARI NA WALIOMALIZA DARASA LA SABA.

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO:
• TAREHE 15/09/2021
• JAZA FOMU ONLINE KUPITIA TOVUTI YA CHUO YA FURAHIKA EDUCATION ORGANIZATION COLLEGE ILI KUOMBA KUJIUNGA.

MUHIMU:
♣ CHUO KINATOA ADA NA CHAKULA KWA WANAFUNZI WOTE.
♣ WANAFUNZI WATAGHARAMIA FEDHA YA MITIHANI YAO TU.
♣ HUDUMA ZA HOSTEL ZIPO * KWA GHARAMA YA MWANANFUNZI MWENYEWE.
♣ MASOMO HAYA NI BURE KWA WASICHANA WENYE UMRI TAJWA HAPO JUU KATIKA MIKOA AMBAYO MRADI WA ELIMU WA FURAHIKI UPO.
♣ TANGAZO HILI LIMETANGAZWA NA MWENYEKITI WA SHIRIKA LA ELIMU LA FURAHIKA EDUCATION ORGANIZATION COLLEGE NDUGU; MOHAMED NGWENDU.

MWISHO.

hubertokiwale@gmail.com
Member Since 11. Nov '13
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.