APPARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MWANANYAMALA
ENEO-MCHANGANI
APPART MPYA YA KISASA
TAMU YA KIBACHELA
INAYOJITEGEMEA
YENYE:-
Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala ambacho ni #Master #Sebule kubwa
Pamoja na public #Toilet nje
#Gypsum #Tiles #Slide #Windows
#Umeme upo wa
Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedAppart
KODI TSHS LAKI 300,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA DALALI
Learn about new items, custom picked just for you.