3. Feb, 19:12
Ad ID: 2471989
TSh 240,000

MULTIFUNCTIONAL GRINDER(DRY &WET GRINDE

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

MASHINE ZA KUSAGA VITU VIKAVU NA VIUNGO MBALIMBALI.
*Zinatumia Umeme.
*Zimeundwa kwa chuma tupu.
*Zina nguvu sana.
*Zina mota imara na zenye kasi zaidi.
*Hazishiki kutu.
*Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara ndogo ndogo.
*Zinafanya kazi zifuatazo:-
✅Zinasaga karanga kuwa siagi 'PEANUT BUTTER'
✅Zinasaga karanga kuwa unga .
✅Zinasaga vitu vikavu.
✅Zinasaga viungo ikiwemo mdarasini.
✅Zinasaga mahindi.
✅Zina uwezo wa kusaga unga wa lishe na mbegu za boga.
✅Zinasaga kunde za bagia.
✅Zinasaga tangawizi kavu na mbichi.
✅Zinasaga vitunguu saumu.
✅Zinasaga kahawa na buni ya kahaawa.
✅Zinasaga mitishamba kwa ajili ya dawa.

Saizi(3kg) ni Tsh 390,000
Saizi(2kg) ni Tsh 330,000
Saizi(1kg) ni Tsh 270,000
Saizi(0.5kg) ni Tsh 240,000

EJ Households
EJ Households
Member Since 12. Jan
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.