Multifunction kitchen cooker
Hii unaweza kusagia mbogambogakama gabeji, tangawizi, nyama , vitunguu, kaloti, n.k.
Pia inaweza kukamua maji ya mbongamboga .
Na uweza kuchanganyia vitu mbali mbali kama mayai au mixture yoyote unayo taka kuchanganya.
Learn about new items, custom picked just for you.