19. Jun '20, 08:40
Ad ID: 1905586
TSh 1,800,000

MOTOR GATE

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery in Dar es salaam

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

GATE MOTOR

Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote tu hata ukiwa umbali wa mita 20

. Gates za hivi zinadumu sana, na pia zinasaidia sana kwenye kuimarisha ulinzi wa nyumba/ofisi yako. Hautohitaji tena kusumbuka kwenda kumfungulia mgeni wako gate

.Hautohitaji kufuli ili ku-lock gate lako, utahitaji kuwa na remote yako tu ili ku-lock na ku un-lock gate lako

.@skmquality @skmquality_ tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika

.Package yetu inakuwa na : Operator, Foundation plate, Controller/ 2A SM Charger, 7Ah Battery, 4m Steel Rack and 2×4 Button NOVA Txs

BEI: 1,800,000 inajumlisha na gharama ya ufundi.

Karibuni sana @skmquality @skmquality_ . Njoo DM, Whatsapp, sms au tupigie kwa namba zetu ili tukuhudumie

SimonKaboja
Member Since 18. May '17
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.