21. May, 17:26
Ad ID 2302962
TSh 45,000

Mizani za maabara n.k

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Door to door

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

?? MIZANI ZA MAABARA
(DIGITAL ELECTRONICS SCALE??

Mizani hii Ni ya electronics kwa ajili ya;

  1. Maabara kupimia chemicals,Physics, Biology, Nutrition n.k
    ????????????
    2.Kupimia Madini Kama dhahabu,silver,Tanzanite n.k
    ????????????
    3.Kitchen kupimia mchele,unga,maharage na Biashara mbalimbali .

?? *Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia 0.1g mpaka 10000g(10kg) kwa kadirio zuri na la uhakika sana.

?? *Mizani hii Ni portable na hutumia betri za kawaida kabisa

Ubora*

✓Mizani zetu ni imara,good accuracy,portable to handle na simple kuitumia.Inatumia betri za AA+size

✓Mizani hii itakurahisishia kupimia chemical na hata kuwarahisishia wanafunzi kufanya practical zao na mitihani mbalimbali

✓Njooo ujipatie kilichobora zaid.

Huduma ya delivered
??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.??

Price:45000/=

Saler
Member Since 1. Sep '19
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.