30. Mar, 05:56
Ad ID 2552957
TSh 275,000

Mizani za digital

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Door to door

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

?? DIGITAL ELECTRONICS WEIGHT SCALE

Tunauza Mizani za kisasa kwa ajili ya matumizi ya Duka,Bucha,Majumbani,Jikoni na Biashara mbalimbali .

?? Mizani hizi hupima uzito wa vitu/magunia Kama ya
Unga,Mchele,Sukari,Maharage,Nafaka mbalimbali

?? Pia ni mizani Bora na salama kwa matumizi ya Buchani kupimia uzito wa Nyama,Samaki,Kuku na Dagaaa n.k .??

Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia *100kg,200kg na 300kg * kwa accuracy nzuri kabisaa (kadirio Bora la uzito) nzuri kabisa

??Mizani hii ya kisasa ina sehemu ya screen kwa ajili ya kuonyesha bei na kilo.??

Ubora*

✓Mizani zetu ni imara Sana na unaweza kuchaji na Kisha kutumia kwa mwezi na nusu bila kuchaji tena,

✓Mizani zetu zimepimwa na kuhakikiwa ikiwa pamoja na sticker ya serikali kwa matumizi ya biashara yako.

✓Njooo ujipatie kilichobora zaid.

Huduma ya delivered
??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.??

Price:275000/= -200kg
350000-300kg

??

Saler
Member Since 1. Sep '19
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.