20. Mar, 15:25
Ad ID 2603551
TSh 23,000,000

Mashine za kuchuja maji chumvi

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Machine inaondoa chumvi,kutu,harufu,rangi,na magadi kuwa maji safi na salama kwa kunywa,
Tunapima kiwango cha chumvi au magadi kilichopo kwenye maji,
Tunamuuzia mteja machine inayoendana na kiwango cha chumvi kinachopatikana kwenye maji yake pamoja na matumizi ya maji baada ya kuchujwa.
Tupo mbezi beach afrikana.karibuni wote.

Flodia kijazi
Member Since 5. Feb
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.