KAMPUNI YA ARIZONA REAL ESTATE INAWATANGAZIA UMMA KUWEPO KWA NAFASI ZA KAZI KATIKA OFISI ZAKE ZILIZOPO PHILIPS ARUSHA.
NAFASI ZILIZOPO
MAAFISA MASOKO
SIFA ZA MUOMBAJI
AWE MTANZANIA
AWE NA ELIMU YA MASOKO KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIKA
AWE NA UZOEFU WA MASOKO
NB; WENYE UZOEFU KATIKA REAL ESTATE WATAPEWA KIPAUMBELE
MAOMBI YOTE YAFANYWE KUPITIA E.MAIL ZOTE MBILI
Info@arizonarealestate.co.tz/humphreyndoss94@gmail.com
Yaelekezwe kwa
DIRECTOR OF OPERATION , ARIZONA REAL ESTATE COMPANY LIMITED
P0.BOX 477 ARUSHA.
Learn about new items, custom picked just for you.