Kiwanja chenye nyumba kinauzwa, kipo mita 600 kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Agustin (SAUT) Mwanza Tanzania, mtaa wenye hostel nzuri zinazopangishwa kwa wanafunzi na waalimu. Maeneo hayo hostel zinapangishwa kati ya TSH 800,000 mpaka 1,800,000 kwa chumba kimoja kwa mwaka.
Nyumba ina sebure kubwa ambayo inaweza kugawanywa kuwa vyumba viwili self contained, ina choo cha public, master bedroom and chumba kimoja, jiko kubwa na stoo.
Pia nyumba ina msingi mzuri na imara ambao unatosha kuongeza vyumba vitano(5) self contained na kufanya jumla ya vyumba kufika 10, Pia kiwanja kina barabara ndogo inayopita mbele ambayo unaweza kujenga flemu za maduka. Umeme na maji vipo karibu sana.
Learn about new items, custom picked just for you.