4. Mar '21, 17:42
Ad ID 2563940
TSh 75,000

MAFUTA YA SAMAKI

Iringa Mjini Iringa
Seller offers delivery

Tunakufikia popote ulipo kwa gharama nafuu Sana!

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Kwa wajawazito na mtoto aliyepo tumboni

 • Hupunguza uwezekano wa mama mjamzito kupata kifafa cha mimba
 • Hupunguza madhara ya mabadiliko ya ki hormones kwa mama mjamzito
 • Ukuaji mzuri wa ubongo wa mtoto tumboni

Kwa mtoto mdogo

 • Ukuaji wa ubongo wa mtoto
 • Huongeza usikivu na utulivu (attention) kwa watoto wadogo
 • Huongeza uwezo wa kumbukumbu
 • Nzuri kwa watoto wanao ugua mara kwa mara, huimarisha kinga ya mwili
 • Nzuri kwa watoto wanaochelewa kupiga hatua
 • Husaidia kuongeza nuru ya macho hivyo nzuri kwa wenye matatizo ya macho

Faida zingine

 • Huchoma mafuta mabaya, hivyo nzuri kwa watu wenye presha
 • Huweka sawa uwiano wa hormones mwilini, kwa wanawake wanaosumbuliwa na hormonal Imbalance
 • Huondoa mafuta mabaya na kukufanya ujihisi kushiba muda mrefu hivyo nzuri kwa kupunguza mwili.
 • Kwa nywele nzuri zenye afya na mng'ao
 • Kwa ngozi nzuri yenye afya na mng'ao
BF SUMA IRINGA
Member Since 12. May '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.