28. Dec '21, 13:47
Ad ID 3790801
TSh 85,000

laptop stand with Cooling fan

Kinondoni, Makumbusho Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Laptop stand with Cooling fan

Unalo jukumu kubwa la kuitunza laptop yako inayo kuingizia pesa , iliyo beba Document zako nyingi za Ofisini na mambo yako muhimu ya kikazi na shule pia.

Unapo tumia laptop yako mda mrefu mpaka ina pelekea kuchemuka na we we kitendo hicho unakichukulia cha kawaida hapa hicho kitendo cha kuchemuka kwa laptop yako ni cha hatari sana. Maana kinaweza kuipelekea laptop yako ikazima gafla wewe bila kutegemea na kupoteza kila kitu na kupata asala kubwa mno.

Ili kuwe puka hayo yote tumia laptop stand hii yenye fan mbili kwaji ya kuipoza laptop yako na kukufanya uwe Comfortable pindi unapo itumia man's unaweza itumia ukiwa kitandani, kwenye kochi , mezani n.k. inakunyuka na kukaa mikao mingi na mizuri.

Diocress
Diocress
Member Since 25. Feb '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.