10. Jun '21, 08:41
Ad ID 2947690
TSh 110,000

laptop stand

Kinondoni, Makumbusho Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Laptop Stand (Multifunctional Laptop Stand) nzuri kabisa ambazo ni adjustable.

Unaweza kuitumia ukiwa kitandani, kwenye sofa, ukiwa mezani na hata jikoni.

Inakurahisishia sana namna ya kutype au ukiwa unaangalia movies, cha kufanya ni kui adjust kulingana na position yako.

Ina fan ambayo inasaidia kupoza laptop yako hivyo kufanya Laptop yako kuwa na performance nzuri sana.

Ina sehemu ya kuwekea mouse (Mouse board), hii inakufanya uwe comfortable zaidi hata kama unatumia Laptop kwa muda mrefu kufanya Graphics designing, 3D rendering n.k

0678405995
Member Since 2. Mar '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.