Saturday, 10:57
Ad ID: 2641254
TSh 13,000,000 / m²

land for sale

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam Tunapatikana kigamboni kibada kituo ni gari bovu
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Semdoi( t)realestate co ltd
Price per square unit
Yes
Square units
375.0 m²
Description

Tunauza viwanja vilivyopimwa kigamboni kibada sqm1=35000.
Viwanja vipo mita500 ukitokea barabara kubwa ya lami iendayo ferrykigamboni au Toangoma. Vimepimwa kuanzia sqm 375,sqm450,sqm500,sqm600.Bei kuanzia mln13,mln14,mln15,mln16.Uzuri wa viwanja hivi,huduma muhimu zote zipo. Utaratibu wa malipo mteja unaweza ukalipia kwa awamu mbili,unachotakiwa ulipie asilimia70 %iliyobaki utaendelea kulipia kidogokidogo ndani ya miezi 3.Akuna malipo yeyote kuja kuangalia viwanja usafir upo na ni bule.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
The land doctor
Member Since 23. Oct '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.