Nauza Kiwanja kipo Vikuruti Mlandizi njia inayoelekea bagamoyo.Kimepimwa na kina hati.Ni viwanja vya project hivyo vimepangiliwa na kumetengwa maeneo ya huduma zote za kijamii(shule, hospitali, viwanja vya michezo etc.).
Learn about new items, custom picked just for you.