KIWANJA# CHA# KIMKAKATI# KINAUZWA# UBUNGO# RIVERSIDE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kiko: UBUNGO RIVERSIDE DSM
— Kiwanja kiko sehemu nzuri sana ya kimkakati kibishara.
---Kwenye kiwanja pamefungwa umeme mkubwa kwajili ya kiwanda cha kuranda mbao.
— Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki
-- Kiwanja kina mita za mraba 333.
— Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa lodge, hotel,yadi,godown, na biashara mbalimbali.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana.
— Eneo limepakana na barabara ya mandela.
— Bei: Tsh. 350,000,000/- na mazungumzo yapo.
— Eneo lina hati miliki
Learn about new items, custom picked just for you.