20. Jan, 07:18
Ad ID: 2432557
TSh 6,000,000

KIWANJA KIZURI KINAUZWA USIACHE KUSOMA MAELEZO

Dodoma Mjini Dodoma
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
474.0 m²
Description

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA

MAHALI- #Michese

MICHESE-Iko iringa Road inapakana na kikuyu,chidachi,miganga na itega ambapo watu wanajenga maghorofa kwaajili ya kuleta mvuto mzuri wa mji

UMBALI TOKA TOWN-5.5Km toka town centre(dakika 5 mpaka 7 kwa gari)

UKUBWA WA VIWANJA-477Sqm

(kwa wasiofahamu Sqm kwa kila kiwanja hapo juu kina ukubwa wa zaidi ya miguu urefu 25 kwa 20 upana)

DOCUMENT -Kimepimwa+Vina in-voice kwaajili ya hati(Asiyeelewa anipigie kwa maelezo zaidi)

MATUMIZI
-makazi

BEI-6M kiwanja(maongezi kidogo yapo)

MFUMO WA MALIPO
A.CASH
B.AWAMU(MAKUBALIANO)

HUDUMA -maji+umeme viko Jirani kabisa

SIFA ZA ZIADA
-Viko mita 800 toka barabara ya standard gauge(SGR)
-Viwanja viko tambarare kabisa
-Huduma za maji+umeme ziko Jirani
-Eneo halina uswahili limezungukwa na nyumba mpya Tupu
-viwanja viko mita 100 kutoka shule ya MORNING STAR PRE&PRIMARY SCHOOL

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Member Since 30. Dec '15
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.