KIWANJA KIZURI NA KIKUBWA KINAUZWA MITA 100 TOKA BARABARA YA LAMI
MAHALI- #Ipagala-Dar es salaam road kiko jirani kabisa na barabara ya lami iendayo kwa waziri mkuu
UMBALI TOKA TOWN-5Km toka town centre
UKUBWA WA KIWANJA-780Sqm
DOCUMENT -Full
MATUMIZI
-makazi
-Kinafaa sana kwa appartments za kupangisha
-nyumba ya kuishi
BEI-27M(maongezi yapo)
HUDUMA -maji+umeme viko Jirani kabisa
SIFA ZA ZIADA
-kina tofali kadhaa
-kokoto
-trip za mchanga
Learn about new items, custom picked just for you.