Nauza Eneo lipo kisarawe kwa Dc Jokate(pwani). Eneo lina ukubwa wa heka mbili kwa bei ya sh Million 7 tu
Kutoka kisarawe mjini ni mwendo wa Nusu saa hadi dakika 20
Umeme na maji vipo. Pia Eneo lipo pembezoni mwa barabara.
Hakuna longolongo
Eneo limepimwa na documents zake official zipo
Kwa maelekezo zaidi tuwasiliane
Learn about new items, custom picked just for you.