Kiwanja kinauzwa kipo mtumba mji mpya wa kiserikali kiwanja kipo karibu sana na barabara kuu ya Dar/Moro, ni umbali wa mita 200 tu kutoka barabara kuu kipo karibu kabs na ile njia panda ya wizara na sheli, kiwanja kimenyooka sana kina UKUBWA wa sqm 1200, bei milioni 12 tu. Documents zipo safi kabisa
Learn about new items, custom picked just for you.