SWAHILI
#KIWANJA KINAUZWA KINYEREZI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja Kipo: KINYEREZI KWA MAKOFIA.
— kiwanja kipo karibu na barabara ya lami ya kinyerezi mbezi.
— kiwanja kimepimwa tayari na kina ukubwa mita za mraba 900.
— kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga/kuuza.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na kiwanja
— Eneo lililozunguka kiwanja tayari limeendelezwa.
— Bei: Tsh. 30,000,000/-
— Hati miliki utajaza fomu za maombi baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja
Learn about new items, custom picked just for you.