Nauza kiwanja kipo manispaa ya Dodoma kata ya kikombo kina ukubwa wa sqm 1408. Kikombo iko jirani na ikulu ya rais ya chamwino ndipo kunapojengwa makao makuu ya jeshi la wananchi-jwtz ndipo kunapojengwa makao makuu ya jeshi la zimamoto. Pia ndipo kulipojengwa kituo cha mfano Cha kitaifa kwa ajili ya kulelea watoto kutoka mazingira magumu. Kiwanja ni cha kwangu mimi wala haihitaji dalali
Learn about new items, custom picked just for you.