#PLOT ZINAUZWA KIBAMBA LUGURUNI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: KIBAMBA LUGURUNI.
--- Viwanja viko KIBAMBA km 1.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo.
--- Viwanja viko viwili, sqm 1,600 na sqm 1,399.
--- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 30,000,000 kwa sqm 1,600 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 1,399.
--- Hati miliki ipo, unabadilisha umiliki tu.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote
Learn about new items, custom picked just for you.