13. Mar, 08:54
Ad ID: 2584871
TSh 4,500,000

Kiwanja kinauzwa bei Chee

Other District Other Location Mingowi/Bagamoyo
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
0.0 m²
Description

Ukubwa ni 20 X 30 kina nyumba ambayo haijaisha ya chumba kimoja na sebule ya kuanzia maisha iliyojengwa mwisho wa Kiwanja. Kiwanja kipo Mingowi/Bagamoyo, kama unatoka Mwenge na daladala unashuka kituo cha Bunju sokoni. Usafiri wa Boda ni 1500 mpaka site. Kutoka Mingowi Main Road mpaka kwenye kiwanja ni mwendo wa kilomita moja.

Maji na Umeme vipo pembeni ya kiwanja
Bei: Milioni 4.5
☎️ 0712 78 79 39

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Alex Andreas
Member Since 2. Mar
Verified via:
Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.