Kiwanja kinauzwa kipo ihumwa nyuma ya shule ya Elshadai, kiwanja kiko karibu na Dar/morogoro road, ni kama umbali wa mita 250 mpk site, kina ukubwa wa sqm 840. kimezungukwa na umeme, hiki kiwanja ni kizuri mno sio cha kuacha, bei ni milioni 10 tu.
Learn about new items, custom picked just for you.