Kiwanja kinauzwa Cha pili kutoka Lami kuu ya Dar/road kipo mtumba kinapakana na sheli, kiwanja kizuri sna kinafaa kwa Lodge, nyumba ya biashara, apartments nk. Kiwanja kina documents, kina UKUBWA was sqm 1100, Bei milioni 20
Learn about new items, custom picked just for you.