6. Sep, 09:59
Ad ID 3335344
TSh 180,000,000

KIWANJA CHA KUJENGA SHELI, YADI, BARABARANI KINAUZWA.

Nyamagana Mwanza Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza, umbali wa kilometa 19 kutoka mjini kati Mwanza.
Details
Price negotiable
No
Reference
002
Price per square unit
No
Square units
4,248.0 m²
Amenities
  • On Paved Road
  • Other
Description

Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza, umbali wa kilometa 19 kutoka mjini kati Mwanza, sehemu nzuri sana kwa kujenga Godawni, kiwanda, Yadi ya magari na mabasi, kituo cha mafuta na hata supamaketi.
Kiwanja kina ukubwa wa Squire meta 4248, Kimepimwa, kina barabara kuu ya rami ya Mwanza Shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha TIA, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jingo lote.
Pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.

KWA MAZUNGUMZO YA BEI NA KUTEMBELEA NYUMBA WASILIANA NAMI

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Benjamin Kanuda
Member Since 6. Jun '17
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.