Wednesday, 09:55
Ad ID: 2836689
TSh 150,000,000

KIWANJA CHA KUJENGA KITUO CHA MAFUTA, CAR WASH, YADI MWANZA

Other Mwanza District Mwanza Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza,
Details
Price negotiable
Yes
Reference
002
Price per square unit
No
Square units
1.0 acres
Description

Kiwanja kizuri cha kujenga kituo cha mafuta, yard, car wash, supermarket na kiwanda kinauzwa.
Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza, sehemu nzuri sana kwa kujenga Godawni, kiwanda, Yadi ya magari na mabasi, kituo cha mafuta na hata supamaketi.
Kiwanja kina ukubwa wa heka moja na kidogo, kinazidi kidogo hekari moja, kina barabara kuu ya rami ya Mwanza Shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha TIA, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jingo lote.
Pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Benjamin Kanuda
Member Since 6. Jun '17
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.