2. Jul, 14:19
Ad ID 3029540
TSh 1,800,000,000

Kiwanja cha Beach (Beach Plot) Kinauzwa

Temeke, Kijichi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
3.0 acres
Description

Kiwanja cha Beach (Beach Plot) Kinauzwa.

MAHALI: Kijichi Kota za Polisi

  1. Ukubwa wa Kiwanja: Hekari 3

  2. Kina sehemu kuu mbili: Sehemu ya Juu ambayo unaweza ukajenga nyumba ya kuishi au apartments. Na sehemu ya chini ambayo iko karibu na bahari ambayo unaweza ukajenga hoteli au mradi wowote wa starehe ambayo utaendana na kupata view ya bahari.

  3. Umiliki: Kiwanja kilifanyiwa sub-division kutoka kiwanja cha hekari 4 kupata hizo hekari 3. Kiko surveyed bado hati.

  4. Umbali kutoka kota za polisi mwendo wa dakika 5 kwa miguu.

  5. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Estate Professional Brokers
Estate Professional Brokers
Member Since 18. Jun '18
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.