6. Nov '21, 00:19
Ad ID 3591849

KAZI YA UWAKALA WA BF SUMS

Other District Other Location
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha Mjini tu .Tofauti na apo utachangia gharama zitakazo husika

Details
Price negotiable
No
Description

BF SUMA ni kampuni ya kimarekan inayo jiusisha na bidhaa za afya (dawa lishe) za kukinga na kupambana na magonjwa mbali mbali

Hizi ni FAIDA wapatazo wanachama wa Bf suma

1.PUNGUZO LA BIDHAA HADI 20%
Mwanachama anapata punguzo ya kila bidhaa kwa 20% tofaut na asie mwanachama
Bidha hizi ni virutubisho lishe ambacho mtu anaweza kutuma ili kujazilisha lishe inayo kosekana katika vyakula ,

2.MALIPO YA MWISHO WA MWEZI

5%-28% (Kila utakacho nunua kwa Card yako ya uanachama either utumie mwenyewe au umuuzie mteja utakuja kulipwa mwisho wa mwezi)

3.FAIDA YA REJA KWA REJA.

Mfano wewe KWA card yako una uziwa KWA Tsh 4,600/= ila ukipata MTU anaitaji hana Card atauziwa kwa 10,000/=)FAIDA hapo ni Tsh 5400/= hii 5400 unaondoka nayo hapo hapo

Je unaweza kuuza ngapi kupitia simu yako (WtsAp,Facebook,Instagram, Tweeter, ) NB bidhaa zinabaki ofisini

4.FAIDA ZA WATU WALIOPO CHINI YAKO 4%-23%

Kampuni inakuruusu kusajili watu kua mawakala hivyo wewe ukiwasajili wakiwa chini yako kampuni itakulipa kwa kila watakacho kifanya

5.ZAWAD KAMA SAFARI ZA NJE YA NCHI NA MAGAR

Bf suma kila mwaka hua wanatoa zawad za Magar NA Safar kwa kila mwanachama anae weza kutumia Card yake vizuri(anafanya bidii katika kazi)vyote hutolewa bure kabisa

6.Zipo Nyingine nyingi

Natumai ungependa kua wakala wa Bf Suma ili uwe mmoja wapo wa wanufaika wa FAIDA tajwa hapo juu

Ni rahisi sana kua wakala wa Bf suma
Kua na mtaji wa Tsh Elfu Arobaini na Sita tu utaanza fursa hii

Karibu sana unaweza kufanya maala popote ulipo

Tunapatikana
Arusha
Dodoma
Mwanza
Mbeya
Morogoro
Iringa
Dar es salaam
Lindi
Na nk

wasiliana nasi kwa msaada zaidi

Bf suma
Member Since 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Google Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.