5. Nov '21, 19:49
Ad ID 3591212
Application deadline 31. Dec

KAZI YA UWAKALA WA BF SUMA

Arusha Mjini Arusha
Details
Application deadline
2022-12-31
Salary Range (Tsh)
0 - 500,000
Business / Employer name
BF SUMA
Company Industry
Healthcare
Job Level
No Experience
Work Type
Part Time
Minimum Qualification
Not Specified
Years of Experience
Less than 1 year
Number of Positions
20
Description

BF SUMA ni kampuni ya kimarekan ambayo makoa yake makuu kwa Tanzania yapo Dar es salaam

Wanatafuta wakala wanao weza kufanya nao kazi Tanzania mzima

Mafunzo kampuni itawajibika kukupatia

Malipo ya zaidi ya aina 4

1.Malipo ya Moja kwa moja(Papo hapo)

2.Malipo ya mwezi kutokana na wateja walio patikana

3.Malipo ya team yako kama

4.Malipo ya kutengeneza Viongozi

5.Malipo Ya Dunia nzima ya mauzo ya mwaka

6.Malipo ya Udhamini yaaani kuwasajili watu wengi Bf suma

7.Zawad mbali mbali( Magari na Safari)

Ingia You tube andika Bf suma Tanzania 2020 utapona magari yalio tolewa 2020 na bf suma bure kabisa

Tunapatikana
Arusha
Dodoma
Mwanza
Dar es salaam na nk

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
Bf suma
Member Since 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Google Mobile Number
Apply for this job
Show Application Instructions
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.