25. Sep, 07:33
Ad ID 3407758
TSh 6,500,000

Karibu viwanja vya mjini.

Temeke, Chamanzi Dar Es Salaam Chamazi
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
0.0 ft²
Description

Landa niulize swali,hivi kuna mtu anapenda kwenda kujenga mbaali na mji? Jibu hapana, ila tu kwa sabubu ya kukosa viwanja vya mjini.

Sasa leo bado hujachelwa.Tumia fursa iliyopo mbele yako,haitojirudia.

Tuna viwanja hapa tunauza.Viwanja vipo mbagala chamazi mikumi Temeke jijini Dar es salaam.Ni viwanja vya mjini kabisaaa.vipo jerani na barabara kuu ya Iami, watu wameshajenga mbeeele zaidi ya hayo maeeneo,mwenye shamba alikomaa nalaooo mpaka sasa kaachia

Viwanja vimekatwa kwa mitaa na barabara.size ya viwanja ni futi 50x50 Bei yake ni shilingi milioni 6.5

Karibu ubaki mjini, umeme upo, maji yapo ya kumwaga, unajenga na kuhamia tuu.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Sele Biliani
Member Since 26. Jun '18
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.