2. Aug '20, 11:17
Ad ID: 2012399
TSh 800,000,000

Jumba la Ghorofa la Kifahari Linauzwa Bahari Beach

Kinondoni, Tegeta Dar Es Salaam Bahari Beach
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
No of bathrooms
5
Description

Mjengo umejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka ambacho kimepimwa na kina hati. Mjengo una vyumba vinne vya kulala na vyote vinajitoshereza ambapo chumba kimoja cha kulala kipo chini vitatu vipo juu.
Mjengo una jiko kubwa, mahala pa kula na sebule 2 moja juu nyingine chini.
Halikadharika, kuna nyumba ndogo upande wa nyuma, nyumba ya vyumba viwili, sebule na mahalapa kula. Hii ni nyumba maalum kwa ajiri ya wageni.
Jumba lipo katika hatua za mwisho za kukamilishwa. Wahi usikose.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kitomai
Kitomai
Member Since 27. Jul '12
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.