Jengo lupo hatari ya kupaua, ramani nzuri sana ya kisasa. Vyumba 5 Kati ya hivo 3 master. Sebule, sehemu ya chakula, jiko na store.
Jengo lipo block L Kihonda youth mission. Ni kiwanja cha kwenye kona, mtaa tulivu .
Malipo kwa awamu (kidogo kidogo) yanapokelewa.
Learn about new items, custom picked just for you.