Natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea.
Nafanya mambo ya IT( INFORMATION TECHNOLOGY).
Elimu yangu ni Bachelor degree in health information systems.
Ukiniitaji nipo tayari muda wowote.
Contact through WhatsApp.
Learn about new items, custom picked just for you.