27. Sep '20, 01:22
Ad ID 2156524
TSh 510,000

Infinix S5 Pro

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery only within Dar Es Salaam city centre and Regions.

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Brand
Infinix
Screen Size
6.5 Inches
RAM
6 GB
Storage Capacity
128 GB
Description

Infinix S5 Pro inakuja na kioo kikubwa cha inch 6.53 ambacho kime tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD, kioo ambacho pia kinakuja na resolution ya 1080 kwa 2220. Kwa mbele simu hii haina kamera ya mbele ambayo ipo juu ya kioo, bali sasa simu hii inakuja na kamera ambayo ipo juu ya simu hiyo na hutoka pale unapotaka kupiga picha au kuchukua video na kurudi pale unapofunga programu ya kamera.
Kwa nyuma simu hii inakuja na kamera tatu, huku kamera kuu ikiwa na Megapixel 48 na kamera nyingine mbili zikiwa na Megapixel 2 na nyingine ya mwisho ikiwa ni Low light camera sensor. Kamera zote zina uwezo wa kuchukua video za hadi 1080p@30fps, huku ikisaidiwa na teknolojia za HDR pamoja na panorama. Sifa nyingine za Infinix S5 Pro ni kama zifuatazo.
Sifa za Infinix S5 Pro
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.53 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 1080 x 2220 pixels.
Mfumo wa Uendeshaji – Android 10.0 yenye mfumo wa OSX
Uwezo wa Processor – Octa-core (4×2.3 GHz Cortex-A53 & 4×1.8 GHz Cortex-A53).
Aina ya Processor (Chipset) – Mediatek MT6765 Helio P35 (12nm)
Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320.
Ukubwa wa Ndani – GB 128
Ukubwa wa RAM – GB 6
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Pop up kamera Megapixel 16, f/2.0, (wide)
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Ziko kamera tatu kwa nyuma moja ikiwa na Megapixel 48 yenye nyingine ikiwa na Megapixel 2 na nyingine ikiwa na QVGA. Kamera zote zinasadiwa na Flash ya Dual-LED flash.
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-po 4000 mAh.
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bluetooth 5.0 na GPS ya A-GPS. USB ya micro USB 2.0, USB On-The-Go.
Rangi – Inakuja kwa rangi mbili za Violet na Forest Green.
Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
Aina za Sensor – Inakuja na sensor za Fingerprint, accelerometer, proximity, compass.
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G, 4G
Ulinzi – Inayo Fingerprint (Kwa Nyuma)

Pport Phone Store
Pport Phone Store
Member Since 29. Nov '19
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.